19 Swahili Riddles.pdf

(1241 KB) Pobierz
1.
BWANA MARINGO
Katika Nchi ya Ajabu kuna bwana mmoja
ambaye maringo yake yanlevuka nlpaka.
Bwana huyo kwa kawaida anajipenda sana,
hasa kwa mavazi. Utanlwona leo amevaa
shati hili na suruali hii. Kesho atabadili nguo
zingine. Hivyo hivyo, kiasi cha kuonekana
maridadi hasa.
Kwa upande wa maringo ni kwamba hata
anapotembea hujiburuzaburuza kwa madaha
mengi. Anapotupa mguu mmoja mbele
husimanla kidogo ndipo atupe na mguu wa
pili
!
Tabia yake hiyo ya kutcrnbeakwa maringo
mara nyingi inanlhatarisha endapo itatokea
hatari yoyote na kumkabili kama vile mota au
wawindaji. Wenyeji wan1ernpachika jina na
kumwita 'Bwana Maringo'. ingawa ana jina
lake halisi!!
Swali: Jina lake halisi ni lipi?
-' ( \ I
,
'CB~'J~9@
' 1.
'
1(':
~
\
,
."
.',
I
"
I
~.fd,
'/.
~) ~
~1
'
J
/
\,'/,
,
i
'/~
. . . .
<I
1
2
2. MBUZI
~1TIIFU
Katika Nchi hiyo ya AJ3bu anaishi mbuzi
mmoja wa ajabu mno. Mbuzi huyo kwa
kawaida hali majani katu. Chakula chake
daima ni maji. Lakini hata hayo maji
anayanywa kwa namna ya kushangaza sana.
Unapomchukua kwenda naye kisimani iIi
akanywe maji, anapofika hapo kisinlani kabla
ya kuanza kuyanywa hayo maji atakuambia,
"Tafadhali nishike nlkiani iIi ninywe maji."
Ukimshika nlkiani Inbuzi huyo hujituliza
na kuwa mpole na mtii mno. Basi hapo
atatumbukiza kichwa chake majini na kujaza
funda tele. Sasa la ajabu ni kwamba maji hayo
atakayoyajaza kinywani hatayanywa, badala
yake atayatema nje ya kisima! Atafanya hivyo
mpaka hapo utakapochoka kuushika huo
mkia na kuamua kurudl nyumbani!
Swali: Mbuzi huyo anaitwaje?
;;=t
~
"-$
I
,.,"
4
'(I~'
~-'"
~",,.'
'C
~~"-'---
~ '~
-;;[,,:2
I~'
'\ /",;::'
'
(I,',,-r
\2'"
i
i',"--'lrfj
,,'
/
,
~'~,\
J
f.,\
f~\~"
,~,/,
,
.
~
'
,
' ',
""I
I
\'
\,,,
,
f",
,
I'
,
'
,
1'/"" ':
'
I : ."
II,'
.'
"
, , '
I'
I
I
'",
\
-
'\ l \"
, . , ' ,I
"
,,;., I,' ,
','Iltil'
JI
'
l'
/
',
.
~'
'
f
'
,~
,,~,
",'
."
,
1,1,
II
,.,
"
I
wi"
,1"
~~~~'
\,'
j!
'\'~
",,;,A
"J,:
'j,
/
}//
/
/
<'
\.v~'
,
/
~
\
\;~
~
""
\
,
"
,
<%,.{
~';\\\",:\:
'1\,
!
'I
, '
'
~
\\
,
(fJ~,~ t~
,'Ii,
,.;/
,II
)
\
!
/
!~"
<:;'S/'
i
II
,~I'"'''''' ~,~
,Q
,
dC
~",'
\","," "
"
):;0 ;,
' \
' "
Iv?
J'
""
-
_)
'
y,-1
/111'"
,
',.,k"" ,
' ... '
'I \' \
,
},
if
II
Ii
.. '
'.\¥\
f.",'"
\
I
"
,,
/
I "
"~'
, (" ,(" ,l\ , \
~---\
,"./"
'
""I
"
'I
'"
",d,
\ ,
,
/
.
1 )
_I"
'
I
,'~\
/'
"
" ,
"
~
I
"
"
\1
\~ f~
r" ,
,<' "
'\
k
,,'
~
.
Ufo~/k
Ij
i
'
;,>
"Ih'
~ ';
I"~
:"I,
~'
["
'
_2,
"~
)
"\'~
f)","
~
~
7~
I,
,,,
II
~t;
' 'd
~
~. ~,'
.
~\~
'\,',
!\~'" ~
~\J/)iI.';'~
,>! ."
'~
".1
~
",,'\ \, \;' '/'
,
,~':),S
\~f2'
/<,:,
','
(/'"
\
c7,,j
, "
),
)v:?
",
,/,
'
,>
Ill';!
i
.1
I "
",
.. •
~~
-~
-
\
¥,1:
'\1,',\ ; ,
\','
r
',!'
'
"
\' ,\
, ,
If
\,
:,
\
, ',
~,~~",
ii,
i'
~.I
'
1,1"
I
"'j
\
\
'"
"'"
".,'
I,
\ ,
,</
I,
If \
\
'j
,j! \ \
\
,/"",'
iV,
)'
"
~~" ~\'
'
I
\'
r
.
.""
"",,'
'
'C/
I
_.
... '
i'
" ..
-
,f'­
'"
'
- , ' __,
~L~~
\
. '
'
'
1'<',
U}, '
\
'I
,-­
./
..
~
4
3. MWANAMAJI
Katika Nchi ya Ajabu anaishi mtu mmoja
wa ajabu sana. Badala ya kuishi na wenzake
katika nchi kavu, mtu huyo ameamua kuishi
yeye na jamaa zake mbali na watu wengine.
lambo la kushangaza ni kuwa mtu huyo si
"
".'
A, . /(
. \
~\ .
I
'\
r
\
"
'~'/.'.\'I :J~
I
\1'
\
l
I I,\. \
.
rj"
\...
1/'
.
I
.III~
' \
\ (. \'\ H'o
II
/
'I
I "
\1
i.I.1
. \ /','/'
/1
1
il;
I
IJ.".
II
1\
I.
/./'
I
\\'\1\\
~VI
'Ir/
li
i/I
fl.
"~I
I ,
\'
I
\
I I !
I
. ,
.
1\
"
I \
);!
\
,
\.1//
n
'I
II
\
I
I
)
1
,
II
\
(I
1',
!,
._
"
":,i
,'I
!
;;
I
.1; ) ...
..'
.......
'i/
II,
.~.
,
'/.........
'l,IlI\'
,
!
/:)
1.// I il.!!
I
... "
i
\.) \ .
ji\'
.~
- _ '
..
I
'-
'.~
~~-~.--'-~
'~~
.
~-~~~ .:r.~::Y.~.\~\..,
-
I!ID¥..."'"
..__________
/:
' ..
~
.
~
",\
./
/---.
mlll;/lll..
.
~;;
--
, '. 'o":><.:--
·""r'.'r~_:....,_
.
-:::a
.
'-"-___......r­
~
~::.-
. ·,t','/I!,V'I.:J
%,""
~
'
,\ """ \
_
,...-___
~~"
c...
~
kwamba tu amejitenga na wenzake, bali pia ni
kule kuamua kwenda kuishi majini!
Muda mrefu wa maisha yake pamoja na
jamaa zake huishi ndani ya maji. Ni mara
chachechache tu ndipo utawaona wakiwa
nchi kavu. Mara nyingi utawaona wakiwa
kwenye kingo za mito ama visima ama mab­
wawa na vidimbwi wakiota jua.
Anapoulizwa kwa nini ameamua kwenda
kuishi ndani ya maji, mtu huyo hujibu; "Watu
wote wananicheka mimi, mke wangu na
watoto wangu kwamba ati tunanuka! Ati
wachafu hatuogi wala hatufui. Sasa
tumeamua kuishi majini
iii
tutakate: nguo
zetu na miili yetu."
Cha kushangaza ni kwamba licha ya huko
kuoga mchana na usiku, mwanamaji huyo
pamoja na jamaa zake bado wanatia kinyaa
ukiwatazarna, kwani bado wanaonekana
wachafu kuliko hata juzi na jana!
Swali: Mtu huyo anaitwaje?
ill
~,
-,
c
/,
,/1 ,',
,
P
\.
\
-.
\l~
r;::
I
)
5
6
4. MPISHI ASIYENENEPA
Ni kawaida ya wapishi wengi kunenepa.
Ni
mara chache kumwona mpishi amekon­
deana miaka nenda miaka rudi akiwa katika
kazi hiyo.
Mpishi wa mfalme mara kwa mara hupika
vyakula vizuri vizuri kama vile ndizi, wali na
vitoweo kama nyama, samaki na mboga aina
kwa aina. Mpishi kama huyo ana kila sababu
ya kunenepa kwa maana mapishi yote hayo
huanzia kwake kwa kuyaonja na hata shibe
kamili.
Lakini katika Nchi ya Ajabu, mpishi wa
mfalme anamshangaza kila mtu. Mpishi huyo
hanenepi miaka yote licha ya vinono vis­
ivyokuwa na idadi anavyokula hapo jikoni!
Baadhi ya watu wanaamini kuwa s?babu in­
ayomfanya mpishi huyo asinenepe ni kwamba
daima hula chakula hapo jikoni penye fukuto
kali la moto. Wanasenla kwamba kama
angekuwa anachukua vyakula hivyo na
kwenda kulia kivulini basi angenenepa tu!
Swali: Je, mpishi huyo anaitwaje?
\
~
f
~/
I
:
I\
~
/ 1\
~
7
8
5. TABlA TOFAUTI
Katika Nehi ya Ajabu nilikutana na familia
moja ya ajabu. Familia hiyo ni ya watu
watatu, yaani baba, mama na mtoto. Wote
watatu wana tabia zilizohitilafiana.
Baba ana tabia ya ukali. Ni mkali sana hata
kama akijiwa na mgeni hana muda mrefu
atamkorofisha. Atamehemsha kwa kumfokea
na kuuweka moyo wa mgeni huyo katika joto
kali!
Tofauti na baba huyo, mama, yaanl
mkewe, ana tabia ya upole daima. :
Mtoto naye je?
"
Mtoto ndiye kiehaa! Hatulii nyumbani asi­
lani. Nyakati zingine anapoona ehakula
kinapikwa yeye hutoweka na kutokomea mi­
taani. Hata anapofungiwa milango
iIi
asitoke
angoje ehakula, yeye kwake ni bure tu.
Atatoka atatoka tu, hata kama ni kupitia
madirishani ama darini!!!
Swali: Baba anaitwaje, malna anaitwaje na
mtoto anaitwaje?
l)
, I
!Ili
I
I
J
"I,
,,~
.,
10
Zgłoś jeśli naruszono regulamin