Swahili.pdf

(24 KB) Pobierz
Miaka ya 2001 na 2002 ilikuwa ndoto ya mshutuko kwangu kwani
nilistahimili operesheni na habari ya daktari aliponiambia «pole Andrew
utakuwa kipofu maishani mwako . »
Kabla ya kupata shinda ya macho sikuwa mtu wa mpangilio kama
ilivyostahili hivyo kumshuku Mungu kuniadhibu kwa maovu yangu ya
awali nilikuwa sina tumaini kwa oparesheni nilizozitaranjia.
Mwaka ambao nilitaranjia kuisoma kuimaliza Bibilia nzima nikawa
kipofu huku nikifikia, Johana 8 na ilikuwa tarehe 31 Agosti
Nilipopata fahamu baada ya oparesheni babangu aliendelea kunisomea
Bibilia toka nilikuwa nimefikia kwani singeweza mwenyewe na kwa
mpangilio wangu wa kalenda alianzia, Johana 9 na nilisikiza huku
machozi yakimwangika.
Wanafunzi wakamuliza, »Yesu nani ndiye aliyekosha huyu mtu au
wazazi wake ndivyo kuzaliwa kipofu ? » Yesu alijibu kuwa haikuwa
makosha ya wazazi wala yule mtu mbali kazi ya mungu ionekane katika
maisha yake, Johana 9 :1-3
Nilipata nguvu kwa hayo maneno ingawa shinda zilibaki nilikubuka
Isaiah ,41 :10 na inasema « usiogope au kuhangaika kwani mimi ndiye
Mungu wako nitakupa nguvu,usaindizi na kukuinua kwa mkono wangu
wa kulia »
Nilipatwa na furaha kuwa kipofu kimwili wala sio kiroho (Mungu
ataifanya ngiza kuwa mwangaza , 2 Samueli 22 :29.)
Kwa kuwa kipofu haya ndiyo mambo muhimu nayo ya fahamu (1
Samueli 16 :7)
Mungu huona tofauti na binadamu kwani huangalia ndani ya roho.
Mungu huwa haoni urembo yeye huona mambo ambayo tunayaficha na
yenye aimbu mbali yeye huona fikira zetu.
Kwa uhakika Mungu anatupenda sana kwani hakuna chochote zaidi ya
penzi lake, Mungu ndiye asiye na hatia na ambaye hana ubanguzi kwani
alitupa Yesu akafa kwa kosha zetu na tunapomwamini atazisamehe
kosha zetu.
Kwa uhakika ungependa kubandilisha maisha yako ? Sema ukweli,
kuwa mwaminifu na umfuate Mungu kuwa mwokozi wako.
Zgłoś jeśli naruszono regulamin